Mwongozo Wa Utengano (Riwaya ya Said A. Mohammad) by Titus M. Kaui & R.M. Wafula
Category:Swahili
Price:180
Description:

            Mwongozo huu unalenga kumwelekeza mwanafunzi wa fasihi kuisoma riwaya ya Utengano kwa njia ya kitaalamu. Vitengo vyote vinayohusu uhakiki wa riwaya vimeshughurikiwa: mtiririko wa vitusi, wahusika, maudhui, dhamira na mtindo.

           Juu ya haya, kuna maswali na majibu yatakayo mwauni mwanafunzi kujibu maswali ya mtihani viziri zaidi.